"Still Ballin" kilikuwa kibao cha pili kutolewa kama single na Tupac Shakur kutoka katika albamu yake iliyotolewa baada ya kifo chake, Better Dayz. Hii ni sehemu ya pili ya "Str8 Ballin" kutoka katika albamu ya Thug Life Vol. 1. Imemshirikisha wasanii wawili ambao ni Trick Daddy na Kurupt.

“Still Ballin'”
“Still Ballin'” cover
Single ya 2Pac featuring Trick Daddy
kutoka katika albamu ya Better Dayz
Imetolewa 2002
Muundo CD
Aina Hip hop
Studio Interscope Records
Amaru Entertainment
Mtunzi Tupac Shakur, F. Ross
Mtayarishaji Frank Nitty
Mwenendo wa single za 2Pac featuring Trick Daddy
"Thugz Mansion"
(2002)
"Still Ballin"
(2002)
"Runnin' (Dying to Live)"
(2003)

Remix ya "Still Ballin'" ilifanywa na DJ Fatal ambayo imeshirikisha mistari ya ma-OG zote za Tupac na Kurupt. Mistari miwili ya toleo la awali pia inapatikana kwenye remix ya wimbo wa "How We Do" wa The Game.

Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "Still Ballin'" (Clean Version)
  2. "Still Ballin'" (Instrumental)

"Still Ballin'" ilishika nafasi ya #31 kwenye chati za Billboard Top R&B/Hip-Hop Singles & Tracks, #15 kwenye chati za Billboard Hot Rap Tracks, #24 kwenye chati za Billboard Rhythmic Top 40, na #69 kwenye chati Billboard Hot 100.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Charting Info for Singles from Better Dayz". allmusic.com.