Stokely Carmichael
Mwanaharakati wa Marekani (1941-1998)
Stokely Standiford Churchill Carmichael (maarufu kama: Kwame Ture; 1941 – 1998) alikuwa mwanaharakati wa Haki za Watu weusi nchini Marekani.
Stokely Carmichael | |
Kazi yake | mwanaharakati |
---|
Maisha ya mapema
haririStokely Standiford Churchill Carmichael alizaliwa Port of Spain, Trinidad na Tobago, katika visiwa vya Karibi. Alihudhuria Shule itwayo Tranquility School hapo kabla ya kuhamia Harlem, New York City, mnamo 1952 akiwa na umri wa miaka 11, aliungana na wazazi wake waliokuwa wakiishi Marekani tangu akiwa na miaka miwili, na alilelewa na bibi yake na shangazi zake wawili. [1] Alikuwa na dada watatu. [1] [2]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stokely Carmichael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ 1.0 1.1 Kaufman, Michael T. "Stokely Carmichael, Rights Leader Who Coined 'Black Power', Dies at 57", New York Times, November 16, 1998. Accessed March 27, 2008. (alternate url) Archived 18 Septemba 2021 at the Wayback Machine.
- ↑ "Ukweli wa Stokely Carmichael", YourDictionary.