Subrahmanyan Chandrasekhar

Subrahmanyan Chandrasekhar (19 Oktoba 191021 Agosti 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Amezaliwa nchini Pakistan. Anajulikana hasa kwa utafiti wake wa mifanyiko tendani ya kifizikia ya nyota. Mwaka wa 1983, pamoja na William Fowler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Subrahmanyan Chandrasekhar


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Subrahmanyan Chandrasekhar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.