Sulekha Ali (kwa Kisomali: Suleekha Cali‎) ni mwanamuziki wa nchini Somalia mwenye kuishi Kanada. Akiwa Ottawa, alisoma katika Chuo Kikuu cha Carleton, ambapo alihitimu aikiwa na shahada ya sanaa (BA Hons) na shahada ya haki za binadamu.

Sulekha Ali
Sulekha Ali

Nyimbo maarufu za Ali ni pamoja na "Hooyo" ("Mother" katika lugha ya Kisomali ) na "Time and Time". [1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sulekha Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.