Sululos
Sululos enzi ya Kirumi ilikuwa manispaa ya mkoa wa Kirumi wa Afrika Proconsularis [1] ambayo ilistawi kutoka 30 KK - 640 BK. [2] Mji wa kale ulijulikana rasmi kama Municipium Septimium Aurelium Severianum Apollinare Sululitanum na inajulikana kwa magofu huko Bir-el-Heuch, (Bir-el-Ach) 36.461372, 9.605158 katika nchi ambayo leo ni Tunisia.
Marejeo
hariri- ↑ R.B. Hitchner, R. Warner, R. Talbert, T. Elliott, and S. Gillies, 'Sululos: a Pleiades place resource', Pleiades: A Gazetteer of Past Places, 2012
- ↑ Barrington Atlas: BAtlas 32 E4 Sululos
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sululos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |