Nyambiti
Nyambiti ni kata ya Wilaya ya Kwimba katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,731 waishio humo.[1]
Msimbo wa posta ni 33810. Asili ya neno Nyambiti inatokana na neno la kisukuma 'Mbiti' yaani Fisi.Hata hivyo hakuna ushahidi wa moja kwa moja kama eneo Hilo Liliwahi kuwa makazi ya Fisi kiasi cha kupelekea kuitwa Nyambiti. sehemu ya vijiji vinavyounda kata ya Nyambiti ni Kinoja, Solwe, Goloma, Mwamajila na Mji mdogo Nyambiti.
Marejeo Edit
Kata za Wilaya ya Kwimba - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Bugando | Bungulwa | Bupamwa | Fukalo | Hungumalwa | Igongwa | Ilula | Iseni | Kikubiji | Lyoma | Maligisu | Malya | Mantare | Mhande | Mwabomba | Mwagi | Mwakilyambiti | Mwamala | Mwandu | Mwang'halanga | Mwankulwe | Ng'hundi | Ngudu | Ngulla | Nkalalo | Nyambiti | Nyamilama | Shilembo | Sumve | Walla |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyambiti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |