Survivor
Survivor ni albamu ya tatu kutoka kwa Destiny's Child iliyotolewa na Columbia mnamo 1 Mei 2001 nchini Marekani. Survivor ilitoa single nne ikiwemo Bootylicious na Independent Women Part 1, Survivor zilizofika namba 1.
Survivor | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya Survivor.
|
|||||
Studio album ya Destiny's Child | |||||
Imetolewa | 1 Mei 2001 (United States) | ||||
Imerekodiwa | 2000-2001 | ||||
Aina | R&B, pop | ||||
Urefu | 59:59 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Columbia | ||||
Mtayarishaji | Anthony Dent Ken "K-Fam" Fambres Mark J. Feist Rob Fusari Beyoncé Knowles Errol "Poppi" McCalla Jr Falonte Moore Poke & Tone Rapture & E. Seats Cory Rooney J. R. Rotem Dwayne Wiggins |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Destiny's Child | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Survivor | |||||
|
Albamu hii ilikuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard 200 mnamo Mei19, 2001 ikipata mauzo ya nakala 663,000 kwenye wiki ya kwanza. Ilikuwa namba 1 kwa muda ya wiki mbili mfululizo. Iliwafanya Destiny's Child kuchaguliwa kwa tuzo tatu za Grammy Awards: Grammy Award for Best R&B Performance by a Duo or Group with Vocals, Grammy Award for Best R&B Song, na Grammy Award for Best R&B Album. Survivor ilithibitishwa 2x platinum na RIAA mnamo 7 Januari 2002.
Chati
haririSurvivor ilifika namba 1 kwenye chati ya Billboard 200 na iliuza zaidi ya nakala 663,000 katika wiki yake ya kwanza.[1] Baada ya miezi mitatu, ilithibitishwa 3x platinum na Recording Industry Association of America kwa kutambulika na nakala milioni 3 zilizotumwa kwa njia ya meli.
Survivor ilifika namba 1 katika nchi nyingikama Uingereza ambapo ilithibitishwa 2x platinum kwa mauzo zaidi ya nakala 700,000.
Pia, ilifika namba 1 nchini Canada na iliuza zaidi ya nakala 31,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Ilifikia kwenye Top 10 nchini Poland, Sweden, Japan, Ufaransa, Italy na Finland. Albamu hii iliuza nakala milioni 5 kwenye wiki zake tano za mwanzo kote duniani. Albnamu hii ilithibitishwa 2x platinum nchini Australia.
Nyimbo zake
hariri- "Independent Women Part 1" (B. Knowles, S. Barnes, C. Rooney, J. C. Olivier) 3:42
- "Survivor" (B. Knowles, A. Dent, M. Knowles) 4:14
- "Bootylicious" (B. Knowles, R. Fusari, F. Moore, S. Nicks) 3:28
- "Nasty Girl" (B. Knowles, A. Dent, M. Bassi N. Hacket) 4:18
- "Fancy" (B. Knowles, D. Wiggins, J. Rotem) 4:13
- "Apple Pie à la Mode" (B. Knowles, R. Fusari, F. Moore) 2:59
- "Sexy Daddy" (B. Knowles, D. Elliott) 4:07
- "Perfect Man" (B. Knowles, R. Stewart, E. Seats) 3:42
- "Independent Women Part 2" (B. Knowles, R. Stewart, E. Seats, B. Knowles, F. Comstock, D. Donaldson) 3:46
- "Happy Face" (R. Fusari, C. Gaines, B. Knowles, B. Lee, F. Moore) 4:20
- "Dance With Me" (B. Knowles, Soulshock, K Karlin) 3:44
- "My Heart Still Beats" featuring Beyoncé (B. Knowles, W. Afanasieff) 3:57
- "Emotion" (B. Gibb, R. Gibb) 3:56
- "Brown Eyes" (W. Afanasieff, B. Knowles) 4:49
- "Dangerously in Love" (B. Knowles, E, McCalla Jr.) 4:53
- "The Story of Beauty" (B. Knowles, K. Fambro) 3:32
- "Gospel Medley" (Dedicated to Andretta Tillman) (B. Knowles, K. Franklin, R. Smallwood) 3:25
- "You've Been So Good"
- "Now Behold the Lamb"
- "Jesus Loves Me"
- "Total Praise"
- "Outro (DC-3) Thank You" (B. Knowles, K. Rowland, M. Williams, R. Fusari, B. Lee, C. Gaines) 4:03
Chati
haririChati (2001) | Aina | Namba | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|---|---|
Australian ARIA Albums Top 50[2] | ARIA | 2 | 2x Platinum | 140,000 |
Austrian Albums Chart[2] | Media Control | 3 | Platinum | 20,000 |
Belgian (Flanders) Albums Chart[2] | Ultratop | 1 | ||
Belgian (Wallonia) Albums Chart[2] | 5 | |||
Canadian Albums Chart[3] | CRIA | 1 | 4x Platinum | 400,000 |
Danish Albums Chart[2] | 1 | Platinum | 30,000 | |
Dutch Albums Chart[2] | MegaCharts | 3 | 2x Platinum | 160,000 |
Finnish Albums Chart[2] | 3 | Platinum[4] | 34,122[4] | |
French Albums Chart[2] | SNEP/IFOP | 11 | Gold | 250,000 |
German Albums Chart | Media Control | 5 | Platinum | 425,000 |
Italian Albums Chart[2] | FIMI | 10 | 20,000 | |
New Zealand Albums Chart[2] | RIANZ | 1 | 2x Platinum | 30,000 |
Norwegian Albums Chart[2] | VG Nett | 8 | Platinum | 30,000 |
Polish Albums Chart | 1 | Gold | 30,000 [5] | |
Swedish Albums Chart[2] | GLF | 5 | Platinum | 100,000 |
Swiss Albums Chart[2] | Media Control | 2 | Platinum | 45,000 |
UK Albums Chart | BPI/The Official UK Charts Company | 1 | 3x Platinum | 1,030,000 |
U.S. Billboard 200 | Billboard | 1 | 4x Platinum | 4,100,000 |
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums | 1 |
Marejeo
hariri- ↑ Cohen, Jonathan. "Destiny's Child Shoot Straight To No. 1", Billboard, Nielsen Business Media, Inc, 2001-05-09. Retrieved on 2008-11-06. Archived from the original on 2012-07-28.
- ↑ 2.00 2.01 2.02 2.03 2.04 2.05 2.06 2.07 2.08 2.09 2.10 2.11 2.12 "DESTINY'S CHILD - SURVIVOR (ALBUM)". Swisscharts. Iliwekwa mnamo 2008-07-20.
- ↑ "Survivor (Album)". Type "Survior" in the space for "title". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-16.
- ↑ 4.0 4.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-04. Iliwekwa mnamo 2021-12-25.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-29. Iliwekwa mnamo 2010-01-16.