Sylvestre Ntibantunganya

Sylvestre Ntibantunganya (alizaliwa Gishubi, Gitega, 8 Mei 1956) alikuwa rais wa sita wa Burundi (6 Aprili 1994 - 25 Julai 1996).

Alitoka katika chama Front for Democracy in Burundi (FRODEBU)

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvestre Ntibantunganya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.