Cyprien Ntaryamira


Cyprien Ntaryamira (6 Machi 1955 - 6 Aprili 1994) alikuwa Mhutu Rais wa Burundi kutoka tarehe 5 Februari 1994 hadi kifo chake miezi miwili baadaye, wakati ndege aliyokuwa akisafiri, pamoja na rais wa Rwanda Juvénal Habyarimana, ilipigwa risasi karibu na Kigali, Rwanda.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cyprien Ntaryamira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.