Sylvie Kinigi
Mwanasiasa wa Burundi
Sylvie Kinigi (amezaliwa 1953) alikuwa Waziri Mkuu wa Burundi kutoka 10 Julai 1993 hadi 7 Februari 1994, na kaimu Rais kutoka 27 Oktoba 1993 hadi 5 Februari 1994, mwanamke wa kwanza na hadi leo wa pekee kushika nyadhifa hizi.
Sylvie Kinigi | |
Sylvie Kinigi, 1993 | |
Muda wa Utawala 27 Oktoba 1993 – 5 Februari 1994 | |
mtangulizi | François Ngeze (mpito) |
---|---|
aliyemfuata | Cyprien Ntaryamira |
Waziri mkuu wa Burundi
| |
Muda wa Utawala 10 Julai 1993 – 5 Februari 1994 | |
Rais | Melchior Ndadaye |
mtangulizi | Adrien Sibomana |
aliyemfuata | Anatole Kanyenkiko |
tarehe ya kuzaliwa | 24 Novemba 1953 Mugoyi, Ruanda-Urundi (saga Bujumbura Vijijini, Burundi) |
chama | Union for National Progress (UPRONA) |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Burundi |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sylvie Kinigi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |