Taa (maana)
Taa ni neno la Kiswahili ambalo huweza kumaanisha:
- Taa – kifaa ambacho hutumika kutoa mwanga katika eneo lenye giza kwa mfano usiku.
- Taa (samaki) – aina ya kiumbe cha baharini kilicho na mnasaba na papa (samaki).
- Taa (mwenendo) - kisawe cha utii.
TAA