Tabasco (jimbo)
Tabasco ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kusini wa nchi. Imepakana na Veracruz, Chiapas, Campeche na nchi ya Guatemala.
Tabasco inahesabiwa kuwa sehemu ya shingo ya nchi ya Tehuantepec. Upande wa kaskazini ni pwani ya hori ya Campeche
Jimbo lina wakazi wapatao 1,989,969 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 25,267.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Villahermosa (kwa Kihispania: kitongoji sheshe).
Gavana wa jimbo ni Andrés Rafael Granier.
Miji Mikubwa
hariri- Villahermosa (658,524)
- Cárdenas (79,875)
- Teapa (49,262)
Viungo vya nje
hariri- (Kihispania) Estado de Tabasco Sitio oficial Ilihifadhiwa 29 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tabasco (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |