Guatemala


Guatemala (pia Gwatemala; kutoka lugha ya Kinahuatl Cuauhtēmallān, "kwenye miti mingi") ni nchi ya Amerika ya Kati. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.

República de Guatemala
Jamhuri ya Guatemala
Bendera ya Guatemala Nembo ya Guatemala
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: El País de la Eterna Primavera
(maana yake: "Nchi ya Kivuli cha Milele")
Wimbo wa taifa: Himno Nacional de Guatemala
Lokeshen ya Guatemala
Mji mkuu Guatemala City
14°38′ N 90°33′ W
Mji mkubwa nchini Guatemala City
Lugha rasmi Kihispania (rasmi)
(lugha za asili 23 zimetambuliwa rasmi lakini mambo yote huendeshwa kwa Kihispania)
Serikali Jamhuri ya kirais
Alejandro Giammattei
Uhuru
Tarehe
Kutoka Hispania
15 Septemba 1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
108,890 km² (106th)
0.4
Idadi ya watu
 - Julai 2014 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
15,806,675 (66th)
129/km² (85th)
Fedha Quetzal (GTQ)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-6)
(UTC)
Intaneti TLD .gt
Kodi ya simu +502

-


Eneo lake ni km2 108,890 ambamo wanaishi watu 15,806,675 (2014).

WatuEdit

Wakazi wengi (41.4%) ni machotara waliotokana na Waindio na Wazungu au watu wenye asili ya Ulaya tu. Waindio wenyewe ni 40.9%.

Lugha rasmi na inayotumika zaidi ni Kihispania, lakini zipo pia nyingine 23 za wakazi asili.

Upande wa dini, wakazi wengi ni wafuasi wa Yesu katika Kanisa Katoliki (47.9%) na madhehebu mengine ya Ukristo, hasa ya Uprotestanti (38.2%).


Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guatemala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.