Tagore Trajano
Tagore Trajano de Almeida Silva (alizaliwa Salvador, Bahia, Brazil) ni mwanasheria na profesa; anafanya kazi za utafiti wa Haki za Wanyama. Mwaka 2010 alichaguliwa kuwa raisi wa Animal Abolitionist Institute, taasisi ambayo imeendeleza Harakati za Kibrazil za Ukombozi wa Wanyama.[1]
Kwa sasa, yeye ni Profesa Msaidizi katika Chuo Kikuu cha Shirikisho cha Bahia, ambapo anafundisha Kozi ya Sheria ya Mazingira masomo ya shahada ya kwanza na shahada ya uzamili (Shahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamivu).[2]"
Marejeo
hariri- ↑ "Sheria, Wanyama, na Walimu", 12 Desemba 2013.
- ↑ "Departamento Direito Público | Faculdade de Direito", direito.ufba.br. Retrieved on 2023-07-02. Archived from the original on 2023-07-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tagore Trajano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |