Tai (kutoka Kiingereza: tie, kifupisho cha necktie) ni vazi linalovaliwa shingoni.

Mkusanyo wa tai za rangi mbalimbali.
Tai mbili.

Hutumiwa hasa na wanaume. Pia linaweza kuvaliwa na wanafunzi wa shule, wavulana kwa wasichana.

Tai linaweza kutengenezwa kwa kushona kwa kutumia mikono au mashine.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tai (vazi) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.