Taifa (Kipakatalishi)

Taifa ni jina la kipakatalishi kinachoundwa na chuo kikuu cha JKUAT[1].

Kilianza kuundwa mwaka wa 2013 kutokana na tarajio la Serikali ya Kenya kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza kipakatalishi moja kwa matumizi ya darasani[2].

Kilianza kuuzwa madukani mwaka wa 2014.

Kinaundwa kwenye Kiwanda cha Teknologia cha Nairobi[3].

Marejeo hariri