Taji la Kipapa lilikuwa kofia iliyovaliwa na Mapapa wengi hadi mwaka 1964[1]. Hapo katikati ilizidi kupambwa na dhahabu na vito kwa mfano na taji la mfalme[2][3].

Papa Inosenti III (1198–1216) akiwa amevaa taji alivyochorwa ukutani katika monasteri ya Mt. Benedikto huko Subiaco, 1219 hivi.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taji la Kipapa kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.