Papa Innocent III
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti III)
Papa Innocent III (takriban 1161 – 16 Julai 1216) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8 Januari/22 Februari 1198 hadi kifo chake[1]. Alitokea Gavignano, Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lotario de' Conti di Segni.
Alimfuata Papa Selestini III akafuatwa na Papa Honori III.
Ndiye aliyefikia kilele cha mamlaka ya Papa katika siasa.
Ndiye pia aliyemkubalia kwa sauti Fransisko wa Asizi afuate wito wake wa kuhubiri toba kadiri ya Kanuni ya Ndugu Wadogo.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |