Tali ni elementi. Namba atomia yake ni 81 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 204.3833. Jina limepatikana kutoka kwa Kigiriki θαλλος thallos „chipuko bichi“ au „chipuko chenye rangi ya kijani" kutokana na rangi ya kijani ya moto kama tali imo.

Tali (thallium)
Vipande vya Tali katika testitubu
Vipande vya Tali katika testitubu
Jina la Elementi Tali (thallium)
Alama Tl
Namba atomia 81
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 204.3833
Valensi 2, 8, 18, 32, 18, 3
Densiti 11.85 g/cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 577 K (304 °C)
Kiwango cha kuchemka 1746 K (1473 °C)
Asilimia za ganda la dunia 3 · 10-5 %
Hali maada mango
Mengineyo Isotopi ya kawaida ina kiwango kidogi cha unururifu

Ni metali laini sana kama metali ya risasi tena sumu sana yenye rangi ya kijivu. Hupatikana hasa katika ardhi mbalimbali pamoja na kali (potasiamu).

Matumizi

hariri

Tali iliwahi kutumiwa kama sumu ya panya lakini imeshapigwa marufuku katika nchi nyingi kwa sababu ni hatari mno kwa binadamu.

Ina matumizi katika vyoo vya pekee na kama kiungo katika vipitisho vya umeme.

  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.