Tambiko

Tambiko (kutoka kitenzi "kutamba" au "kutambika") ni utekelezaji wa ada maalumu ili kutuliza mizimu, koma au pepo. Mara nyingi matambiko hufanyika kwa kuambatana na kafara. Baadhi ya makabila huweza kuchinja wanyama, wengine hutumia pombe na kadhalika. Kimsingi kafara linalotolewa katika tambiko hutegemea na kabila.

Matambiko huwa hayaaminiki sana katika imani (dini). Mara zote huaminika katika makabila (mila na desturi za jamii).

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tambiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.