Tanakali

Tanakali au tanakalisauti au mwigo sauti (kwa Kiingereza "onomatopeia", kutoka Kigiriki ὀνοματοποιία; ambapo ὄνομα maana yake ni "jina" na ποιέω ni "nafanya") ni tamathali ya usemi ambayo hutumika kuigiza sauti au mlio wa kitu katika mazungumzo au maandishi na hivyo kufanya simulizi liwe hai zaidi.

Bango linalotangaza kwamba hizi saa hazitoi sauti "tic tac" kama zile za kawaida.

Tanakali inasaidia kuinua sentensi hadi hadhi ya sanaa.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tanakali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.