Tanga School ni shule ya kwanza ya serikali iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Wajerumani.

Ilijengwa kati ya mwaka 1892 na ilijulikana kama Tanga Schule (Shule ni neno ambalo tumelitohoa kutoka kwenye lugha ya kijerumani), ila kwa sasa inajulikana kama Old Tanga School.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tanga School kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.