Mamlaka ya Bandari Tanzania

(Elekezwa kutoka Tanzania Ports Authority)

Mamlaka ya Bandari Tanzania (Kiingereza: Tanzania Ports Authority kifupi TPA) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu na Maendeleo, hiyo ndiyo inajukumu zima la kuongoza na kuendesha " bandari ya bahari na bandari ya maziwa ya nchini Tanzania.[1][2] Mamlaka haya yapo mjini Dar es Salaam. Ni bandari mwanachama wa Jumuia ya Uongozaji wa Bandari za Kusini na Mashariki mwa Afrika.

Jengo la Mamlaka ya Bandari Tanzania kabla ya kukamilika

Bandari za Bahari ya Hindi hariri

Bandari kuu za TPA zilizopo katika Bahari ya Hindi ni Dar es Salaam, Mtwara, na Tanga; bandari zingine ndogo zinatoa huduma katika pwani ni pamoja na Lindi, Kilwa Masoko, Mafia Kisiwani, Bagamoyo, Pangani na Kwale. Bandari ya Zanzibar inajitawala chini ya Shirika la Bandari la Zanzibar.[3].

Marejeo hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.