Tarafa

eneo la ugatuzi katika nchi mbalimbali

Tarafa (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "circondary") ni eneo la ugatuzi katika nchi mbalimbali.

Kwa mfano nchini Tanzania tarafa ni sehemu ya kiutawala iliyo ndogo kuliko wilaya na ni kubwa kuliko kata. Hivyo ni ngazi kati ya wilaya na kata.