Tashihisi
Tashihisi (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza (personification) ni tamathali ya usemi inayokipa kitu sifa ya uhai ambayo hakina ili kionekane kusema na kutenda kama kiumbehai.
Usanii huo unaweza kupendezesha sentensi, mazungumzo na maandishi na kuvifanya viwe fasihi.
Mfano: tashishi ya 'mezwa na ulimwengu'
inamtaja mhusika na hapa ulimwengu umepewa sifa ya kiumbehai inayoweza kumeza kitu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tashihisi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |