Tashtiti

Tashtiti ni mbinu ya kuuliza swali kwa jambo ambalo unafahamu jibu lake, na hufanya hivyo kwa lengo la kusisitiza jambo, kuleta mshangao, n.k.

Mfano
  • Ikiwa mtu kapoteana na rafiki yake kwa muda mrefu, halafu ghafla wanakutana, huweza kumwuliza "Aisee! ni wewe?", hali anajua kuwa ni yeye.

MarejeoEdit