Swali (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "question") ni usemi wa lugha unaouliza habari.

Kwa kawaida, habari inayoombwa na swali hutolewa na jibu.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Swali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.