Terensiani wa Todi
Terensiani wa Todi (alifariki Todi, Umbria, 1 Septemba 138 hivi BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo (Italia ya Kati) hadi kifodini chake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Mons. Zaffarami, San Terenziano primo vescovo e martire di Todi..., Todi 1935
- G. Lucchesi, Terenziano, in Bibliotheca Sanctorum, XII, coll. 370-372, Roma 1961-1970
- Lanzoni, La Passio S. Sabini, 1903
- O. Maturo, Antica leggenda ed inni inediti di San Terenziano, in "Archivio per la Storia Ecclesiastica dell'Umbria", I (1913), pp. 239–247
- P. Chiricozzi, San Terenziano V.M. patrono di Capranica, Roma 1985 (nuova edizione)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- San Terenziano: da Todi a Rezzoaglio, un lungo percorso di fede di Massimo Brizzolara
- www.encyclocapranica.it
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |