Teresa wa Ureno
Teresa wa Ureno, O.Cist. (Ureno, 1176 – abasia ya Lorvao, 18 Juni 1250) alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu wa Ureno aliyeolewa na mfalme Alfonso IX wa Leon, leo nchini Hispania, akamzalia watoto watatu, lakini baadaye alijiunga na monasteri ya Kibenedikto ambayo alikuwa ameianzisha; hatimaye akaiunganisha na urekebisho wa Citeaux akaweka nadhiri[1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |