Teresia Mbaika Malokwe

Mtaalamu wa mazingira na Mwanasiasa wa Kenya-Idara ya Jimbo la Ugatuzi

Teresia Mbaika Malokwe (née Teresia Mbaika) ni mwanamazingira na mwanauchumi wa afya kutoka Kenya, ambaye anahudumu kama katibu wa "Hazina ya Kitaifa ya maendeleo ya Serikali - eneobunge" (NG-CDG) kwa eneo bunge la Kaiti, kaunti ya Makueni, iliyopo mashariki mwa Kenya.[1]

Marejeo hariri

  1. The Kenya Gazette (4 June 2013). "The Kenya Gazette: Published by Authority of the Republic of Kenya: Constituencies Development Fund Act of 2013: Gazette Notice No. 7496: Page 2953: Kaiti Constituency". Nairobi: Kenya Law Society. Iliwekwa mnamo 21 March 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)