The Thundermans

The Thundermans ni mfululizo wa televisheni ya Marekani ambao umetengenezwa na Jed Spingarn uliofanyika kwenye Nickelodeon kuanzia Oktoba 14, 2013 hadi Mei 25, 2018.

Wahusika wa mfululizo huo ni Kira Kosarin, Jack Griffo, Addison Riecke, Diego Velazquez, Chris Tallman, Rosa Blasi, Maya Le Clark, na Dr Koloso.

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Thundermans kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.