Theodore Huebner Roethke (25 Mei 19081 Agosti 1963) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1954, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Theodore Roethke
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodore Roethke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.