Theodoreto wa Kuro
Theodoreto wa Kuro (kwa Kigiriki Θεοδώρητος Κύρρου; 393 hivi - 458/466) alikuwa mwanateolojia muhimu wa Shule ya Antiokia aliyefafanua Biblia ya Kikristo akawa askofu wa Kuro nchini Siria (423–457).
Alichangia sana mabishano katika Kanisa la karne ya 5 yaliyosababisha matamko mbalimbali na pia mafarakano. Alikuwa rafiki wa Nestori lakini hakumuunga mkono katika yote, ila alishindana na Sirili wa Aleksandria aliyekuwa na msimamo mkali dhidi ya Nestori.
Waorthodoksi wa mashariki wanamheshimu kama mwenye heri au kama mtakatifu[1].
Tazama pia
haririTafsiri za maandishi yake
hariri- Translations of some of Theodoret's writings can be found in Nicene and Post-Nicene Fathers.
- A bilingual edition of the Eranistes was published by Oxford University Press in 1974.
- Ettlinger, GH, 2003. Theodoret: Eranistes, FC, Washington, DC: Catholic University of America Press.
- Petruccione, John F and RC Hill, 2007. Theodoret of Cyrus. The Questions on the Octateuch, Greek text and English translation, Washington, DC, Catholic University of America Press
- RC Hill has published translations into English of the Commentary on the Psalms (2000, 2001), the Commentary on the Songs of Songs(2001), and the Commentary on the Letters of St Paul (2001)
- István Pásztori-Kupán, Theodoret of Cyrus, (Routledge, 2006), includes full translations of On the Trinity, On the Incarnation, and excerpts from A Cure of Greek Maladies and A Compendium of Heretical Mythification.[2]
- An English translation of the Ecclesiastical History is available as an e-book from Munseys.com Ilihifadhiwa 11 Septemba 2016 kwenye Wayback Machine..
- Bilingual editions (Greek text with parallel French translation) of several of the texts mentioned above have been published in recent years in Sources Chrétiennes.
Tanbihi
hariri- ↑ Orthodox Dogmatic Theology
- ↑ Pasztori, Istvan. "Theodoret of Cyrus (Paperback) - Taylor & Francis". Taylorandfrancis.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-20. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
hariri- "Theodoret of Cyrus". The Crossroads Iniative.
- Theodoret's works at CCEL
- Greek Opera Omnia by Migne Patrologia Graeca, with analytical indexes and concordances made on the whole writings
- István Pásztori-Kupán: Theodoret of Cyrus’s Double Treatise On the Trinity and On the Incarnation: The Antiochene Pathway to Chalcedon (PhD thesis) Ilihifadhiwa 24 Mei 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |