Theofani mkaapweke

Theofani mkaapweke (Theophan Zatvornik; kwa Kirusi: Феофа́н Затво́рник; Chernavsk, 10 Januari 1815 - Vysha Monastery,6 Januari 1894) alikuwa mmonaki na hatimaye askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi.

Picha takatifu ya Mt. Theofani.

Kanisa lake lilimtangaza mtakatifu mwaka 1988.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Januari au 10 Januari.

Maandishi yake katika tafsiri ya KiingerezaEdit

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.