Thomas Frederick Price

mwanzilishi mwenza wa kikundi cha kidini cha Amerika (1860-1919)

Thomas Frederick Price, MM (19 Agosti 1860 - 12 Septemba 1919) alikuwa mwanzilishi mwenza wa Shirika la Kimisionari la Kikatoliki la Marekani, linalojulikana zaidi kama "Maryknoll Fathers and Brothers".[1]

Thomas Frederick Price

Marejeo

hariri
  1. Maryknoll Fathers, The. "Thomas Frederick Price". Biography of Father Price. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.