Tin Jedvaj (alizaliwa Novemba 28, 1995) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza kama mlinzi wa Ujerumani Bayer Leverkusen.

Mchezaji wa timu ya taifa ya croatia
Tin Jedvaj

Alikuwa sehemu ya kikosi cha Kroatia kilichomaliza mbio katika fainali na Ufaransa katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tin Jedvaj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.