Tonight/Miss You Nights
"Tonight"/"Miss You Nights" ni wimbo kutoka kwa Westlife, Wimbo huu wa "Tonight" kwa mara ya kwanza uliandikwa na Steve MacWayne Hector na Jorgen Elofsson wakati wimbo wa "Miss You Nights" ulitengenezwa kwa mara ya kwanza na Cliff Richard na kutungwa na Dave Townsend. Miss You Nights ndio ulionza kutoka na kufuatiwa na wimbo wa Tonight. Wimbo wa Miss You Nights ulitoka nchini Taiwan pekee
“Tonight/Miss You Nights” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife | |||||
Muundo | CD Single | ||||
Aina | Pop, adult contemporary | ||||
Mtunzi | Steve Mac, Wayne Hector and Jorgen Elofsson Miss You Nights Dave Townsend | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
Orodha ya Nyimbo
haririCD ya kwanza ya Uingereza
hariri- Tonight (Single Remix)
- Miss You Nights (Single Remix)
- Where We Belong
- Tonight (Video)
CD ya Pili ya Uingereza
hariri- Tonight (Single Remix)
- Tonight (12" Metro Mix)
- Miss You Nights (Video)
CD ya Australian
hariri- Tonight (Single Remix)
- Tonight (12" Metro Mix)
- Where We Belong
Orodha ya Matamasha
haririChart | Peak position |
---|---|
Australian Singles Chart | 2 |
Austrian Singles Chart | 1 |
Denmark singles chart | 3 |
German Airplay Chart | 2 |
German Singles Chart | 1 |
Irish Singles Chart | 1 |
Netherlands Singles Chart | 2 |
Swedish Singles Chart | 1 |
UK Singles Chart | 3 |
UK Radio Airplay Chart | 100A/ 13B |
AMiss You Nights
BTonight