The Don Killuminati: The 7 Day Theory
(Elekezwa kutoka Toss It Up)
The Don Killuminati: The 7 Day Theory ni albamu ya mwisho ya Tupac Shakur, chini ya jina jipya la Makaveli, aliimaliza kabla ya kifo chake na ya kwanza kutolewa baada ya kifo chake. Shakur alikamilisha ubunifu wa kila na kuweka jina la kava la albamu alama ambayo inaonyesha kiasi vyombo vya habari jinsi walivyomsulubisha. Albamu ilikamilika kabisa katika kipindi cha siku saba katika kipindi cha mwezi wa Agosti 1996[2]. Mashairi yaliandikwa na kurekodiwa katika siku tatu pekee na kui-mixi na kuchukua siku nyingine nne kwa kuikamalisha kabisa. Hizi ni miongoni mwa nyimbo zake za mwisho kabisa kabla ya kuuawa kwake mnamo 7 Septemba 1996.
The Don Killuminati: The 7 Day Theory | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Makaveli (2Pac) | |||||
Imetolewa | 5 Novemba 1996 | ||||
Imerekodiwa | Can-Am Studios Los Angeles, California Agosti 1996 |
||||
Aina | West Coast hip hop, hip hop ya kisiasa | ||||
Urefu | 59:24 | ||||
Lebo | Death Row/Interscope Records | ||||
Mtayarishaji | Simon, Darryl Harper, Hurt-M-Badd, Makaveli, Reggie Moore, Dametrius Ship, Troy Staton | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Makaveli (2Pac) | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya The Don | |||||
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Mwimbaji | Mtayarishaji | Muda |
---|---|---|---|---|
1 | "Intro/Bomb First (My Second Reply)" |
|
Makaveli; Darryl "Big D" Harper | 4:56 |
2 | "Hail Mary" |
|
Hurt M Badd | 5:09 |
3 | "Toss It Up" |
|
Dametrius Ship; Reggie Moore | 5:06 |
4 | "To Live & Die in L.A." |
|
QDIII | 4:33 |
5 | "Blasphemy" |
|
Hurt M Badd | 4:38 |
6 | "Life of an Outlaw" |
|
Makaveli; Darryl "Big D" Harper | 4:55 |
7 | "Just Like Daddy" |
|
Hurt M Badd | 5:07 |
8 | "Krazy" |
|
Darryl "Big D" Harper | 5:15 |
9 | "White Man'z World" |
|
Darryl "Big D" Harper | 5:38 |
10 | "Me and My Girlfriend"** |
|
Makaveli; Hurt M Badd (Tyrone Wrice) ; Darryl "Big D" Harper | 5:08 |
11 | "Hold Ya Head" |
|
Hurt M Badd (Tyrone Wrice) | 3:58 |
12 | "Against All Odds" |
|
Makaveli, Hurt M Badd (Tyrone Wrice) | 4:37 |
Chati za Albamu
haririMwaka | Albamu | Chati | |
---|---|---|---|
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | ||
1996 | The Don Killuminati: The 7 Day Theory | 1 | 1 |
Single
haririMaelezo ya wimbo |
---|
"To Live & Die in L.A."
|
"Hail Mary"
|
"Toss It Up"
|
Marejeo
hariri- REDIRECT 10<10>http://www.mvremix.com/urban/reviews/2002/makaveli.shtml</10>
Viungo vya Nje
hariri- Life on Death Row Archived 29 Julai 2008 at the Wayback Machine.
- The Original “Makaveli” Album Archived 21 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Don Killuminati: The 7 Day Theory kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |