Toy Story ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1995. Filamu ilitayarishwa na Pixar Animation Studios, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 19 Novemba 1995 na Buena Vista Pictures Distribution.

Toy Story
Imeongozwa na John Lasseter
Imetayarishwa na
Imetungwa na
Nyota
Muziki na Randy Newman
Imehaririwa na
Imesambazwa na Buena Vista Pictures Distribution
Imetolewa tar. Novemba 19, 1995 (1995-11-19) (El Capitan Theatre)
Novemba 22, 1995 (1995-11-22) (Marekani)
Ina muda wa dk. Dk. 81[1]
Nchi Marekani

Katika filamu hiyo walioingiza sauti ni:

Marejeo hariri

  1. Toy Story. British Board of Film Classification.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toy Story kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.