Pongo
(Elekezwa kutoka Tragelaphus sylvaticus)
Pongo | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la pongo kusi (kulungu)
(Tragelaphus s. sylvaticus) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 2:
| ||||||||||||||||
Msambao wa pongo
|
Pongo, kulungu au mbawala (Kiing. bushbuck) ni wanyama wa Afrika wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae ambao wanafanana na Tandala.
Spishi
hariri- Tragelaphus scriptus, Pongo Kaskazi (Northern bushbuck)
- Tragelaphus sylvaticus, Pongo Kusi (Southern bushbuck)
Zamani nususpishi 40 zilitofautishwa, lakini utafiti wa ADN wa sampuli nyingi umeonyesha kwamba kuna vikundi 19. Vikundi hivyo viliungana katika nususpishi mbili. Siku hizi zinachukuliwa kama spishi tofauti. Wanasayansi wengine wanatambua spishi nane tofauti, lakini hii bado inabishaniwa.
Picha
hariri-
Jike la pongo kusi (mbawala)
-
Pongo kusi kwa karibu katika Hifadhi ya Taifa ya Kruger, Afrika Kusini
-
Jike la pongo kaskazi
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pongo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.