Triglav ni mlima wa Alpi katika nchi ya Slovenia (Ulaya).

Mlima Triglav

Urefu wake ni mita 2,864 juu ya usawa wa bahari, hivyo unazidi milima yote ya nchi hiyo.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Triglav kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.