Trollhättan
Trollhättan ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 44,498 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1916.
Jiografia
haririEneo lake ni 23.80 km². Iko kando ya mto Göta, Umbali na Jiji la Göteborg ni 75 km.
-
Maporomoko ya Trollhättan ya mto Göta
-
Lock
-
Kanisa la Trollhättan
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trollhättan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |