Tronador ni mlima wa Andes katika nchi za Ajentina na Chile (Amerika Kusini).

Muonekano wa Mlima Tronador kutokea kwenye ziwa Mascardi

Urefu wake ni mita 3,491 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri