Troy ni filamu ya hali ya juu iliyotolewa mnamo tar. 14 Mei 2004. Filamu inahusu vita vya Trojan. Filamu inatokana na kitabu cha Homer' cha Iliadi, lakini pia kimechanganya maufundi mengine kutoka katika kitabu cha Vergilio cha Aeneid na vyanzo vingine. Filamu ina wahusika maarufu sana tangu kipindi hicho inatoka. Wahusika hao ni pamoja na: Brad Pitt kacheza kama Achilles, Eric Bana kacheza kama Hector, Orlando Bloom kacheza kama Paris, Diane Kruger kacheza kama Helen, Brian Cox kacheza kama Agamemnon, Sean Bean kacheza kama Odysseus, Rose Byrne kacheza kama Briseis, Garrett Hedlund kacheza kama Patroclus, Peter O'Toole kacheza kama Priam, Brendan Gleeson kacheza kama Menelaus, na Tyler Mane kacheza kama Ajax . Troy iliongozwa na Wolfgang Petersen na kutungwa na David Benioff. Filamu imepata Tuzo za Akademi ikiwa kama filamu bora ya mandhari asilia.

Troy

Troy Theatrical Poster
Imeongozwa na Wolfgang Petersen
Imetayarishwa na Wolfgang Petersen
Diana Rathbun
Colin Wilson
Plan B
Imetungwa na David Benioff
Nyota Brad Pitt
Eric Bana
Orlando Bloom
Brian Cox
Sean Bean
Peter O'Toole
Diane Kruger
Muziki na James Horner
Sinematografi Roger Pratt
Imehaririwa na Peter Honess
Imesambazwa na Warner Bros.
Imetolewa tar. 14 Mei 2004
Ina muda wa dk. 162
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu Dola mil. 180 za Kimarekani

Muhtsari wa filamu

hariri

Washiriki

hariri
Mwigizaji Jina alilotumia
Brad Pitt Achilles
Eric Bana Hector
Orlando Bloom Paris
Diane Kruger Helen
Peter O'Toole King Priam
Sean Bean Odysseus
Brian Cox Agamemnon
Brendan Gleeson Menelaus
Ken Bones Hippasus
Saffron Burrows Andromache
Rose Byrne Briseis
Julie Christie Thetis
James Cosmo Glaucus
Frankie Fitzgerald Aeneas
Julian Glover Triopas
Garrett Hedlund Patroclus
Tyler Mane Ajax
Vincent Regan Eudorus
John Shrapnel Nestor
Nigel Terry Telephus
Adoni Maropis Philoctetes
Nathan Jones Boagrius
Shero Rauf Trojan Archer
Ben Crompton Body double

Soma zaidi

hariri
  • Petersen, Daniel (2006). Troja: Embedded im Troianischen Krieg (Troy: Embedded in the Trojan War). HörGut! Verlag. ISBN 3-938230-99-1.

Vingo vya nje

hariri
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: