Wilaya ya Uasin Gishu

Wilaya nchini Kenya
(Elekezwa kutoka Uasin Gishu)


Wilaya ya Uasin Gishu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Uasin Gishu
Mahali paWilaya ya Uasin Gishu
Mahali paWilaya ya Uasin Gishu
Mahali pa Wilaya ya Uasin Gishu katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Eldoret
Eneo
 - Jumla 2,955.3 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 894,179

Makao makuu yalikuwa mjini Eldoret.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Uasin Gishu.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Uasin Gishu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.