Uddevalla ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 30,513 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1498.

Daraja la Uddevalla

Jiografia hariri

Eneo lake ni 16.92 km². Iko kando ya Byfjorden (Ghuba ya By) ambayo ni mkono wa Kattegat. Umbali na Jiji la Göteborg ni 60 km.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uddevalla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.