Kwa kata nyingine yenye jina hilo, tazama: Uhuru (Dodoma).

Uhuru ni kata ya Wilaya ya Mbulu Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.

Kata ya Uhuru ina mitaa saba: Harka, Ayalabe, Uhuru, Madukani, Ayarati... ila ofisi iliyopo mtaa wa Uhuru ndipo shughuli za kiutawala hutekelezwa.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 6,959 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,141 waishio humo.[2]

Kata ya Uhuru ina shule ya sekondari ya kata Singland Sekondari ambayo bado ni shule changa inayofanyiwa maboresho kila leo.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Mbulu Mjini - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Ayamaami | Ayamohe | Bargish | Daudi | Endagikot | Gehandu | Gunyoda | Imboru | Kainam | Marang | Murray | Nahasey | Nambis | Sanu Baray | Silaloda | Tlawi | Uhuru

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhuru (Mbulu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.