Uingereza Kusini-Magharibi


Uingereza Kusini-Magharibi (Kiing.: South West England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,928,450. Mji wake mkuu ni Bristol / Plymouth.

South West England
Mahali paSouth West England
Mahali paSouth West England
Mahali pa Uingereza Kusini-Magharibi katika Uingereza
Nchi Bendera ya Ufalme wa Muungano Ufalme wa Muungano
Sehemu Bendera ya Uingereza Uingereza
Mji mkuu Bristol / Plymouth
Eneo
 - Jumla 23,829 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 4,928,450
Tovuti:  http://www.southwest-ra.gov.uk/

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kusini-Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
 
Mikoa ya Uingereza
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber