Wilaya ya Ulanga

(Elekezwa kutoka Ulanga)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Ulanga (madini)

Mahali pa wilaya ya Ulanga katika mkoa wa Morogoro kabla ya kumegwa ili kuanzisha Wilaya ya Malinyi.

Wilaya ya Ulanga ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 676.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 194,209 walioongezeka kuwa 265,203 wakati wa sensa ya mwaka 2012.[1] Katika ile ya mwaka 2022, baada ya wilaya kumegwa, walihesabiwa 232,895 [2].

Makao makuu ya wilaya yapo Mahenge Mjini.

Marejeo

hariri
  1. "Sensa ya 2012, Morogoro - Ulanga DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
  2. https://www.nbs.go.tz
  Kata za Wilaya ya Ulanga - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Chilombola | Euga | Ilonga | Iragua | Isongo | Ketaketa | Kichangani | Lukande | Lupiro | Mahenge Mjini | Mawasiliano | Mbuga | Milola | Minepa | Msogezi | Mwaya | Nawenge | Ruaha | Sali | Uponera | Vigoi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ulanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.