Umio (lat.-ing. esophagus) ni ogani ya mwili yenye umbo la mpira.

Umio au esophagus mwilini mwa binadamu (rangi nyekundu)

Inaunganisha mdomo na tumbo.

Ni njia ya chakula kuingia katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula baada ya mdomo.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Umio kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.